Jaguar "Tunaomba nchi jirani zisaidie kutafuta amani na usalama DRC"

Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wavuka mpaka nakuingia Rwanda

Raia wanaofanyia kazi MONUSCO (the UN Organization Stabilization Mission in the Democratic Republic of the Congo) wabeba vifaa vyao wakivuka mpaka kutoka Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo naku ingia Gisenyi, Rwanda, 27 Januari 2025. Source: EPA / MOISE NIYONZIMA/EPA/AAP Image

Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo.


Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu mgogoro unaokaribia kutokea.


Bw Jaguar na Bw Omari ni raia wa Australia wenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Katika mazungumzo kuhusu hali ya usalama katika nchi yao ya asili, walifunguka kuhusu chanzo cha ukosefu wa usalama pamoja na changamoto zingine zinazo ikumba nchi yao.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service