Bw Chumba "tukishikana mikono itatupa urahisi kufanya vitu vikubwa pamoja"

Bw Gilbert Chumba, Katibu Mkuu wa Jumuiya yawa Kalenjin wa NSW akitoa hotuba..jpg

Viongozi wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi New South Wales wanajiandaa kuwasilisha vyeti vya usajili wa Jumuiya kwa wanachama wao jioni ya Ijumaa 20 Disemba 2024.


Bw Gilbert Chumba ni Katibu Mkuu, wa Kalenjin Community Association and Welfare. Katika mahojiano na SBS Swahili alifunguka kuhusu maandalizi ya hafla wanayo waandalia wanachama, umuhimu wakuwa mwanachama pamoja na kile ambacho wanachama wanastahili tarajia kutoka hafla hiyo pamoja na viongozi husika.

Kwa mawasiliano na viongozi au wanachama wa jumuiya hiyo tembelea mitandao yakijamii: Kalenjin Community Association and Welfare.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service